You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
29.04.2024
29 Aprili 2024
Umoja wa Ulaya waweka masharti magumu ya visa kwa Ethiopia
29.04.2024
29 Aprili 2024
Ukraine yadai kuzuia mkururo wa mashambulizi ya Urusi
29.04.2024
29 Aprili 2024
Kesi wanaoshukiwa kutaka kuipindua serikali Ujerumani yaanza
27.04.2024
27 Aprili 2024
Rwanda yakanusha madai ya Kongo dhidi ya kampuni ya Apple
25.04.2024
25 Aprili 2024
Kongo yaishutumu Apple kwa matumizi ya ''madini ya damu''
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Rais Vladimir Putin ala kiapo cha awamu ya tano ya urais
Rais Vladimir Putin ala kiapo cha awamu ya tano ya urais
Mataifa mengi ya Magharibi hayakupeleka wawakilishi kwenye uapisho huo kutokana na mzozo baina yao na Urusi.
Joel Nanauka katika Kinagaubaga na DW Kiswahili
Joel Nanauka katika Kinagaubaga na DW Kiswahili
Joel Nanauka kutoka Tanzania ni mwandishi wa vitabu na msomi aliyebobea katika masuala ya Diplomasia na uchumi na ni miongoni mwa vijana wenye ushawishi zaidi barani Afrika, kwa kuielimisha jamii hasa vijana kuhusu mambo yasiyofundishwa katika mfumo rasmi wa elimu ya darasani. Veronica Natalis amezungumza ne katika Kinagaubaga.
Maumivu makali ya hedhi hudhibitiwaje?
Maumivu makali ya hedhi hudhibitiwaje?
Maumivu ya hedhi, wakati wa ngono, na matatizo ya usagaji chakula ni baadhi tu ya dalili zinazohusiana na endometriosis. Hali hiyo huathiri mwanamke mmoja kati ya kumi duniani kote. Ingawa kwa sasa hakuna tiba ya endometriosis, kuna njia za kuboresha maisha ya walioathirika. Katika mazungumzo haya ya dhati na Dk. Chinonso Egemba, Ritha anasimulia safari yake ya kupambana na ugonjwa huo.
Mfumuko wa bei unavyobadili maisha ya wakazi wa Ulaya
Mfumuko wa bei unavyobadili maisha ya wakazi wa Ulaya
Mfumuko wa bei bado unaendelea kushuhudiwa katika mataifa mengi duniani hususan barani Ulaya. Na hilo ndilo linalojadiliwa katika makala hii ya Mwangaza wa Ulaya.
Rais Samia apokea ripoti ya CAG, madudu yaanikwa wazi
Rais Samia apokea ripoti ya CAG, madudu yaanikwa wazi
Ripoti za CAG nchini Tanzania mara kwa mara zimekuwa zikionyesha ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma.
Vyombo vya habari namna vinavyoharibu lugha ya Kiswahili
Vyombo vya habari namna vinavyoharibu lugha ya Kiswahili
Mtafiti wa lugha ya Kiswahili Daktari Nasra Habib wa chuo kikuu Huria cha Tanzania analizungumzia suala hilo kwa kina.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Miaka 13 tangu kutokea ajali ya Fukushima
Ajali ya Fukushima inazingatiwa kuwa janga la pili la nyuklia katika historia ikilinganishwa na janga la Chernobyl.