Mapigano makali na mashambulizi ya mabomu yameukumba Ukanda wa Gaza+++Baraza la mpito nchini Haiti ambalo limepewa jukumu la kusimamia uchaguzi, limeahidi kurejesha utulivu+++Uhaba wa vifaa vya msingi, maambukizi na ukosefu wa wataalam wa afya vimetajwa kuwa chanzo kikuu cha ongezeko la vifo vya watoto nchini Kenya