Timu ya Simba inafikiria kumuondoa kocha wake Mzambia kutokana na kushindwa kwake kurejea nchini kwa ajili ya kuiandaa timu hiyo
Maandalizi yako mbioni kwa ajili ya kuanza kwa ligi kuu nchini Tanzania na pia timu za taifa za nchi hiyo , za wanawake na wanaume zinajitayarisha kwa ajili ya michuano ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika. George Njogopa kutoka Dar Es Salaam anatufahamisha zaidi.