1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

Ujumbe wa SMS

TUMA UJUMBE MFUPI: Idhaa ya Kiswahili ya Radio Deutsche Welle, sasa inajisogeza karibu na wasikilizaji na ili tuwe karibu nanyi, tunawakaribisha kushiriki katika matangazo yetu ya kila siku.

Kila siku tunawaletea uchambuzi wa ripoti za matukio ya kimataifa na yanayotokea Afrika, kutoka kwa waandishi wetu, pamoja na mahojiano na wanaohusika na matukio hayo.

Hakika kutoka hapa Ujerumani, Radio Deutsche Welle TUNAVUMA KWA KISHINDO.

Kwa hayo yote sasa tunakupa fursa ya kutuma maoni yako moja kwa moja wakati wa matangazo yetu ya mchana na jioni, juu ya ripoti utakazozisikia, kwa kutuma ujumbe mfupi ama SMS kupitia simu yako ya mkononi, Jumatatu hadi Ijumaa. Kumbuka ujumbe uhusike na ripoti tutakayoitangaza wakati huo.

Tuma ujumbe wako kwa nambari:

+ 49 17 32 91 17 90.

 
 


DW-TV EUROPE live

Journal - News with Business Review

We're sorry, due to legal issues this content can not be transmitted as live stream.

If you are inside the United States, it is still possible for you to enjoy DW-TV. For more information, please click here.

Kiswahili On Your Desktop via RSS
RSS